Use a few thinly-split fuel stick -
two or three are enough
Reduce the firewood once the
cooking dish has come to a boil.
Cover the cooking pot with a lid
whenever possible and always avoid overcooking.
Soak some foods such as maize and
beans, green grams (pulles), before cooking.
Before cooking some foods such as
sweet potatoes, yams, arrow roots, and cassava, chop them into small.
use dry wood. You will have less
smoke and energy will not be used up drying the wet wood before it
burns.
Tumia kuni zilizochongwa nyemba
mbili au tatu zinatosha
Punguza kuni mara tu chakula
kikianza kuchemka. Pia tumia kifuniko juu ya chungu cha kupikia. Usipike chakula
kwa mda mrefu.
Kwa vyakula kama mahindi,
maharagwe, viazi na pojo, hakikisha umeviloweka kwa maji kabla kupika.
Na vyakula kama viazi vitamu, viazi,
muhogo, na aina nyingi za mizizi, hakikisha umevikatakata kwa vipande vidogo
kabla kupika.
Tumia kuni kavu na hutakuwa na taabu
ya kupika na moshi mwingi. Pia hutakuwa na taabu ya kungoja kuni zikauke kabla
kuanza
kupika.